info@kawawasecondary.ac.tz                +(255) 763 445 667

Kawawa (JKT) Secondary School

 

NEWS

ADA NA MICHANGO

UTAWALA SHULE YA SEKONDARI KAWAWA UNAPENDA KUWAKUMBUSHA WAZAZI NA WALEZI WA WANAFUNZI KWAMBA WANATAKIWA KUMALIZIA ADA NA MICHANGO YOTE KWA MWAKA WA MASOMO 2017 KWAN KUTOFANYA HIVYO NI KUKWAMISHA SHUGHULI ZA SHULE NA NI MAKOSA KISHERIA,TUNAWAOMBA KUKAMILISHA MICHANGO HIYO ILI KUFANIKISHA ADHMA YAKE.
By UTAWALA2017-11-10 08:19:01

VYETI VYA KIDATO CHA NNE

MTAALUMA WA SHULE YA SEKONDARI KAWAWA ANAPENDA KUWATANGAZIA WANAFUNZI WOTE WA KIDATO CHA TANO KUWA WANATAKIWA KUJA NA VYETI VYAO HALISI VYA KIDATO CHA NNE PINDI WANAPORUDI KUTOKA LIKIZO KWA AJIRI YA KUKAMILISHA USAJILI WAO. TUNAWATAKIA UTEKELEZAJI MWEMA,HERI YA KRISMASS NAMWAKA MPYA
By ACADEMIC MASTER2017-11-10 08:07:35

NAFASI ZA MASOMO

MKUU WA SHULE YA SEKONDARI KAWAWA ANAYO FURAHA KUBWA KUWATANGAZIA WAZAZI NA WANAFUNZI NAFASI ZA MASOMO KATIKA SHULE YAKE KWA MWAKA WA MASOMO WA 2018,AIDHA SHULE INAPOKEA WANAFUNZI WAJINSIA ZOTE WAKIKE NA WA KIUME, NAFASI BADO ZIPO KWA WANAFUNZI WANAOTARAJIA KUANZA KIDATO CHA KWANZA KWA MWAKA 2018.
By HEAD MASTER2017-11-10 08:02:17