SHULE YA SEKONDARI KAWAWA

KALENDA YA SHULE KWA MWAKA 2018

NA. TAREHE TUKIO WAHUSIKA
1 02 Jan 2018 Kufungua shule kidato cha I Kidato cha I
2 07 Jan 2018 Kufungua shule kidato cha II – VI Wanafunzi
3 04 Jan 2018 Kikao cha kamati tendaji Wajumbe
4 05 Jan 2018 Kikao cha wafanyakazi wote Wafanyakazi
5 12 Jan 2018 Kikao cha MMT na wakuu wa idara MMT/wakuu wa idara
6 23 Jan 2018 Vikao vya mabweni Patron/Matron/Wanafunzi
7 25 Jan 2018 Vikao vya madarasa Wanafunzi/walimu
8 26 Jan 2018 Baraza la shule Wanafunzi
9 29 Jan – 02 Feb 2018 Mitihani ya mwezi Januari kidato cha I - V
10 02 Feb 2018 Kikao cha bodi ya shule Wajumbe na bodi
11 26 Feb – 02 Mar 2018 Mitihani ya mwezi Februari Kidato cha I-V
12 19 Mar 2018 Kutuma entry form NECTA MMT
13 19 Mar – 23 Mar 2018 Mitihani ya mid-term kidato cha I-V Wanafunzi
14 23 Mar 2018 Kufunga shule kidato cha I - VI Wanafunzi
15 24 Mar 2018 Mapumziko ya mid-term kidato cha I-VI
16 09 Apr 2018 Kufungua shule Wanafunzi
17 10 Apr 2018 Vikao vya wakuu wa idara na walimu Wajumbe
18 11 Apr 2018 Kamati ya utendaji Wajumbe
19 13 Apr 2018 Kikao cha MMT na wakuu wa idara Wajumbe
20 18 Apr 2018 Vikao vya mabweni Patron/Matron/Wanafunzi
21 19 Apr 2018 Vikao vya madarasa Wanafunzi/walimu
22 20 Apr 2018 Mahafali ya kidato cha sita Wote
23 30 Apr – 09 May 2018 Mitihani ya kidato cha sita Kidato cha sita
24 21 May – 01 Jun 2018 Mitihani ya mock kidato cha nne Kidato cha IV
25 23 Apr – 27 Apr 2018 Mitihani ya mwezi Aprili kidato cha I - V
26 28 May – 01 Jun 2018 Mitihani ya muhula wa kwanza Kidato cha I – IV
27 28 may – 01 Jun 2018 Mitihani ya muhula wa mwisho Kidato cha V